Saturday, April 20, 2024

FREESTYLE SESSION II FROM OZEE #morocontrol X COSMO IS OUT


🎢 freestyles session II by OZEE x COSMO
🎼 Ellybeatz
🎬 DanteBlaque

Watch and download hereπŸ‘‡

Saturday, March 9, 2024

Moro Street Cypher II is out


🎢 Moro Street Cypher

πŸ“Ί By Danteh Blaq

🎼 By EllyBeat_B-Ton

🎀 Dr.Jerre_Stable_Snuff_Cosmo_Ozee_O-Ten

Check the link below for watching and Downloading

Moro Street Cypher II 

Friday, February 10, 2012

WEUSI NA "MUZIKI MZURI" the album

Najua wengi si wageni na ile crew ya WEUSI ama NYEUSI toka hood za Arachuga kaskazini mwa Tzee wanaowakilisha good katika tasnia ya HIP HOP ya bongo,G-Nako hivi karibuni aliisanua mitaa kwamba WEUSI ni zaidi ya kundi na si kundi in sachi bali ni kampuni ambayo inaundwa na wakali wa RIVER CAMP soldiers front line members yaani Joh Makini,Niki wa pili,na Bonta conscious, na crew ya NAKO 2 NAKO soldiers front line members Lord eyes,G-nako,na Bou nako na sio ma member bali ni mapatners katika biashara ya kampuni ya weusi,Na hivi soon wanakuja na Album ya pamoja inayokwenda kwa jina la ''muziki mzuri'' ikiwa imesheheni jumla ya nyimbo ishirini na ipo katika final stage na ikiwa tayari kusambazwa utaharifiwa utaipata vipi sababu mfumo wa usambazaji watakao tumia ni tofauti na wengi walivyozoea.

WEB SEARCH