Najua wengi si wageni na ile crew ya WEUSI ama NYEUSI toka hood za Arachuga kaskazini mwa Tzee wanaowakilisha good katika tasnia ya HIP HOP ya bongo,G-Nako hivi karibuni aliisanua mitaa kwamba WEUSI ni zaidi ya kundi na si kundi in sachi bali ni kampuni ambayo inaundwa na wakali wa RIVER CAMP soldiers front line members yaani Joh Makini,Niki wa pili,na Bonta conscious, na crew ya NAKO 2 NAKO soldiers front line members Lord eyes,G-nako,na Bou nako na sio ma member bali ni mapatners katika biashara ya kampuni ya weusi,Na hivi soon wanakuja na Album ya pamoja inayokwenda kwa jina la ''muziki mzuri'' ikiwa imesheheni jumla ya nyimbo ishirini na ipo katika final stage na ikiwa tayari kusambazwa utaharifiwa utaipata vipi sababu mfumo wa usambazaji watakao tumia ni tofauti na wengi walivyozoea.
Friday, February 10, 2012
WEUSI NA "MUZIKI MZURI" the album
USHAURI WA MGOSI MKOLONI KWA WADAU NA WANAMUZIKI WA BONGO
MGOSI MKOLONI KULIA AKIWA NA SUGU
"NDUGU WAPENDWA.........KUNA TAARIFA MTAIPATA SOON KUPITIA MITANDAO HII YA KIJAMII KUHUSIANA NA SUALA ZIMA LA HARAKATI ZA KUMKOMBOA MSANII WA TANZANIA.............ILA KWA LEO NINGEPENDA KUWAPA TAARIFA IFUATAYO KWA UFUPI TU JUU YA TUNZO HIZI ZINAZOITWA KILI MUSIC AWARD.......
kifupi ni kwamba hakuna msanii yeyote wa Tanzania ambaye atathubutu kusimama hata nchi ya Kenya na kujisifu kuwa ni mshindi wa Tunzo za Kili music award toka Tanzania, kwa sababu hazina heshima yoyote na mbaya zaidi zimejaa fitina,majungu ubinafsi,undugu,ushkaji,kujuana,ufisadi,ukosefu wa taaluma,wizi,upendeleo,unyanyapaa,uwoga na ujinga ndio vimetawala kiasi cha kufanya Tunzo hizi zinakosa heshima na nidhamu kwa sanaa ya muziki Tanzania......silazimishi ukubali ila sijaomba ukatae hapa ninachokimaanisha....JIULIZE.....ni msanii gani wa Tanzania ambaye atathubutu kusema Tunzo zimempatia heshima zaidi ya kupiga picha na kuwekwa kwenye rekodi ambayo wanaharakati watakuja kuifuta soon? nilialikwa kwenye kikao chao cha kwanza pale BASATA na niliwachana live wawape wasanii mkwanja wa kutosha kati ya mil 3 mpaka 5 kwa washindi wakaniona mimi KINEGA ndio maana kwenye kuchagua nominees huko kwenye academy yao Kunduchi wakachaguana wao kwa wao na kuwaacha watu kibao wenye upeo na uelewa wa kutosha kuhusu muziki, japo sikuwa na mpango wa kutaka kuwepo kwa sababu wanajua wasingefanikiwa lazima kingenuka tu,bado nasisitiza suala la heshima ya Tunzo haipo watoe mkwanja kwa wasanii na wote watakaoburudisha wasizingue!!........Nawapongeza wasanii wote waliojitoa kwa kutangaza kwani wako sahihi na ninawaunga mkono...... kitaeleweka........ WASANII TUSIDANGANYIKE!!!
Wednesday, February 8, 2012
BONTA CONSCIOUS NA MGOMO WA MADAKTARI
AMBAYE PIA NI PROFESSIONAL DOCTOR AFUNGUKA JUU YA MGOMO WA MADAKTARI AKIWA NI MMOJA KATI YA MADAKTARI HAO BONTA ANASEMA HIZI NI HASIRA ZA SIKU NYINGI AMBAZO ZIME BE STIMULATED NA MAMBO YA SASA HIVI KATIKA SERIKALI SABABU MAANDAMANO YANALETWA NA VITU VIWILI AMBAVYO NI MATTER OF RIGHT OR MATTER OF INTEREST NA KUNA MAENEO ESSENTIAL YASIYORUHUSIWA KUGOMA KAMA MA DR. WATU WA FIRE MAASKARI NA MAJESHI LAKINI MADAKTARI WAMEGOMA KUTOKANA NA MATTER OF INTEREST KWA MADAI YAFUATAYO
1.CALL ALLOWANCE ambayo kwa sasa wanalipwa Tsh 10000/= tangu mwaka 2004
ikiwa WANASIASA wanalipwa Tsh 700000 nakudai waongezewe hadi Tsh-200000
2.HEALTH INSURANSE GREEN CARD SIO NSSF
3.TRANSPORT ALLOWANCE
4.RISK ALLOWANCE
5.HARDSHIP ALLOWANCE
5.BAD WORKING AREAS
6.MSHAHARA AMBAO JUMUIYA YA MADAKTARI WALIDAI KIASI CHA TSH.MILIIONI 3.5 KWA DR. NA WALIHITAJI KUKAA NA SERIKALI KUJADILI JUU YA MSHARAHA HUO LAKINI SERIKALI IKADAI HUO NI UTOVU WA NIDHAMU.
7.WAZIRI WA AFYA, NAIBU WAZIRI WA AFYA ,KATIBU MKUU WAONDOLEWE MADALAKANI HIKI NDO KITU KIKUBWA ZAIDI, JUMUIYA YA MADAKTARI WALITAKA VIONGOZI WOTE WA JUU KATIKA WIZARA YA AFYA WAJIUZURU SABABU NDIO CHANZO CHA HAYA MATATIZO YOTE
BAADHI YA HIT SONG ZA BONTA MTI WENYE MATUNDA,NAUZA KURA YANGU,MZALENDO WA MEI MOSI N.K
DULLY AFUNGUKA JUU YA KILI MUSIC AWARDS
mkongwe wa muziki wa bongo flava mwenye hit song kibao Dully Sykes afunguka juu ya kili music awards na kudai hataki kushiriki katika tuzo hizo na hajui kwa ni kwa nini wanamuweka kwenye categolies hizo ikumbukwe yupo katika categories za ''Mtumbuizaji bora,na wimbo bora wa Afro Pop kupitia wimbo wa Bongo flever'' anadai hajaambiwa na alishakataa kuwekwa katika category yoyote katika tuzo hizo kwa sababu tunzo hizo hazimnufaishi kwa lolote ''siitaji na siitaji tuzo yoyote toka tanzania''Dully alisisitiza
hususani kilimanjaro tanzania music award zinazotolewa na kampuni ya kilimanjaro Dully afunguka ''wangejua thamani ya music wangu wangenipa toka kipindi cha hi,bijou,hi,handsome kwa sasa siihitaji tuzo hizo"
lakini habari toka kwa afisa mmoja wa BASATA afunguka juu ya hilo na kudai "wanahitaji uthibitisho wa maandishi toka kwa dully kama awali alivyofanya Mwana FA kupitia gazeti la kita ngoma, basata wanadai hawajapata barua rasmi toka kwa dully"
hususani kilimanjaro tanzania music award zinazotolewa na kampuni ya kilimanjaro Dully afunguka ''wangejua thamani ya music wangu wangenipa toka kipindi cha hi,bijou,hi,handsome kwa sasa siihitaji tuzo hizo"
lakini habari toka kwa afisa mmoja wa BASATA afunguka juu ya hilo na kudai "wanahitaji uthibitisho wa maandishi toka kwa dully kama awali alivyofanya Mwana FA kupitia gazeti la kita ngoma, basata wanadai hawajapata barua rasmi toka kwa dully"
KILIMANJARO TANZANIA MUSIC AWARDS NOMINATIONS

Chini ni baadhi ya categories na nominees
wimbo bora wa mwaka:
Hakunaga wa Suma lee,
Dushelele wa Ally kiba,
Moyo wangu wa Diamond,
Mathematics wa Roma,
Nilipe nisepe wa Belle 9,
Riz one wa Izzo business
wimbo bora wa R&B:
Number one fan wa Ben Paul, Maumivu wa Ben Paul,
Nilipe nisepe wa Belle 9,
Napata raha wa Jux,
Usiniache wa Hemed [PHD]
wimbo bora wa HIPHOP:
Rizi One wa Izzo B,
Kilimanjaro wa Joh Makini
Mathematics wa Roma Famous wa Jay Moe,
Kingzila wa Godzilla
kolabo bora:
Famous - Jay Moe feat. P-funk, King Zilla - Godzilla feat.Marcochali
Wangu - Jay Dee feat.Mr.blue
kama ni gangster - Chege, temba feat. Ferouz
Nai Nai - Ommy Dimpoz feat.Ally kiba
mwimbaji bora wa kike:
Lady Jaydee, khadija Kopa,Isha Mashauzi, Dayna, Linah
msanii bora wa hiphop:
Godzila, Roma, Izzo B, Joh Makini, Fid Q
Producer bora:
Marco Chali, Pancho Latino, Bob Juniour, Maneck, Man Water
Msanii bora anaechipukia:
Ommy Dimpoz, Darasa, Recho, Abdul Kiba, Beatrice a.k.a Nabisha
Subscribe to:
Posts (Atom)


