Wednesday, January 25, 2012
R.I.P SAM MBOKA WA BANYAMBALA CREW
Yafuatayo ni maneno toka kwa Zola D juu ya kifo cha SAM MBOKA ""watu wengi washabiki wa mziki wa hip hop,waishio mikoani MWA TANZANIA,najuwa mtakuwa mnamjua kijana mmoja anaitwa sam mboka au aka 2 pac alikuwa na bonge la sauti kama simba,ndie alikuwa muanzilishi wa kundi moja la mziki kutoka mjini mbeya linaitwa banyambala clew nasikitika huyu dogo amekufa KWA DHARULA jana J.PILI ni msiba mzito kwangu coz alikuwa kama mdogo wangu wa damu na walikuwa wanaishi home kwangu tokea mwaka 2004,nasikitika nguzo moja ya hip hop imeanguka R.I.P MY REAL BRO SAM MBOKA.Ikumbukwe kuwa marehemu SAM MBOKA alikuwa akiunda kundi la banyambala na Man DAVY na walikuwa wakiwakilisha Mbalizi MBEYA the green city R.I.P BRO IN MEMORY OF SAM MBOKA UNAOGOPA USIKU!!!UNAOGOPA MCHANA!!!
PICHANI NI ZOLA D KING AMBAYE ALIKUWA AKIISHI NA MAREHEMU SAM MBOKA JIJINI DSM
