Wednesday, January 25, 2012
R.I.P SAM MBOKA WA BANYAMBALA CREW
Yafuatayo ni maneno toka kwa Zola D juu ya kifo cha SAM MBOKA ""watu wengi washabiki wa mziki wa hip hop,waishio mikoani MWA TANZANIA,najuwa mtakuwa mnamjua kijana mmoja anaitwa sam mboka au aka 2 pac alikuwa na bonge la sauti kama simba,ndie alikuwa muanzilishi wa kundi moja la mziki kutoka mjini mbeya linaitwa banyambala clew nasikitika huyu dogo amekufa KWA DHARULA jana J.PILI ni msiba mzito kwangu coz alikuwa kama mdogo wangu wa damu na walikuwa wanaishi home kwangu tokea mwaka 2004,nasikitika nguzo moja ya hip hop imeanguka R.I.P MY REAL BRO SAM MBOKA.Ikumbukwe kuwa marehemu SAM MBOKA alikuwa akiunda kundi la banyambala na Man DAVY na walikuwa wakiwakilisha Mbalizi MBEYA the green city R.I.P BRO IN MEMORY OF SAM MBOKA UNAOGOPA USIKU!!!UNAOGOPA MCHANA!!!
PICHANI NI ZOLA D KING AMBAYE ALIKUWA AKIISHI NA MAREHEMU SAM MBOKA JIJINI DSM
"SAUTI YA JOGOO" Nikki Mbishi album
Nikki Mbishi kitambo from lunduno keshaipua album yake mpya na ya kwanza inayokwenda kwa jina la SAUTI YA JOGOO so if u have love with Tanzania HIP HOP ni muda muafaka ku support hii kitu so go to market and get it ni full usiwaze ni HOT ndugu yangu
Dogo Janja "mtoto wa uswazi" ipo mbioni
Dogo from narengaro hood za kaskazi MTOTO WA USWAZI the album uploaded so soon mzigo utakuwa live from his connection tip top kip on!!
Tuesday, January 17, 2012
Monday, January 16, 2012
hiP hOP Mc Mo-Plus aja na MoveMent T-Shirt!!
HiP HoP Mc Mo-Plus
T-Shirt za movementHiphop MC Moplus,baada ya kuachia ngoma ya "movement" ,sasa amewapa nafasi mashabiki zake wote kunyuka Tshirt za "MoveMent" kwa elf kumi tu!!!!'asema "Project zangu za kimziki nazifanya kwa mashabiki zangu ambao kwa ujumla ndio jamii#hii ni kwa hisani ya NOIZMEKAH#
Thursday, January 12, 2012
MAN STABLE stable wa rhyemes TARGET ZA KITAA mixtape
Cover ya mix tape hiyo huku chini ikionyesha list ya track zilizomo ndani ya mixtape hiyo
MAN STABLE ama stABLe wa rhYMEs toka hood za dirty south of southern highlands of Tanzania I-town ngome ya mtwa Mkwawa anakuja na mixtape inayokwenda kwa jina la TARGET ZA KITAA yenye jumla ya nyimbo kumi na sita,akiongea na moja ya mashabiki wa street HIP HOP alibainisha kuwa katika mzigo huo uliopikwa na maproducer wa nyumbani na nje yupo katika finishing soon mzigo utaachiwa mwanzoni mwa mwezi much kama mambo yataenda ka yalivyopangwa so ka ni mpenzi wa hip hop ya Tanzania toka kitaa kaa mkao wa kupata madini kwani THE REAL HIP HOP IS NOT ON THE RADIO twende sote tu-support hip hop ya Tezee from ghetto,street to all over the world WE KIP IT HIP HOP!
MAN STABLE ama stABLe wa rhYMEs toka hood za dirty south of southern highlands of Tanzania I-town ngome ya mtwa Mkwawa anakuja na mixtape inayokwenda kwa jina la TARGET ZA KITAA yenye jumla ya nyimbo kumi na sita,akiongea na moja ya mashabiki wa street HIP HOP alibainisha kuwa katika mzigo huo uliopikwa na maproducer wa nyumbani na nje yupo katika finishing soon mzigo utaachiwa mwanzoni mwa mwezi much kama mambo yataenda ka yalivyopangwa so ka ni mpenzi wa hip hop ya Tanzania toka kitaa kaa mkao wa kupata madini kwani THE REAL HIP HOP IS NOT ON THE RADIO twende sote tu-support hip hop ya Tezee from ghetto,street to all over the world WE KIP IT HIP HOP!
Sunday, January 8, 2012
Ghetto hip hop artist toka hood ya Arachuga aitwaye Viva concsious yuko mbioni kuja na mixtape yake inayokwenda kwa jina la CONSCIOUS MIXTAPE ndani ikiwa na nyimbo 10,akifunguka hivi karibuni katika mitandao ya kijamii viva conscious anatariifu kuwa ngoma ipo hot so mashabiki wa HIP HOP toka Tanzania na vitongoji vyake na dunia nzima wakae mkao wa kula,Akiwataja aliowapa shavu kaita mixtape hiyo ni pamoja na Del manase katika Active IQ, Gentriez katika Rap imara, Mesen selekta ndani ya Jicho la mtaa,na Charter cana ndani ya Upeo.mpenzi wa street hip hop ni wakati wa kuunga mkono hii kitu ni conscious wadau take tezee hip hop to the next level!!!!
Friday, January 6, 2012
Baada ya tour ya mikoani genge kinara la vinega wanao scun virus walio katika tasnia ya music wa bongo almaarufu kama ANT-VIRUS wanaendelea na ile wanaoiita ni vita dhidi ya wahujumu wa muziki wa bongo flava chini ya kiongozi wao mashuhuri ambaye ni moja kati ya waasisi wa muziki huo hapa nchini ambaye pia ni mbunge mashuhuri wa jimbo la Mbeya mjini katika jiji la Mbeya kupitia tiketi ya chama cha chadema,vinega inaundwa na wasanii wengi wakonge na wapya kama SUMA G;RAMA D;MKOLONI;ADILI(hisabati);MAPACHA(D WA MAUJANJA;K-WA MAUJANJA) PEENLAWYER;SOGGY DOGGY;COIN;DANY MSIMAMO na ISANGA FAMILY moja ya vinega D wa maujanja kafunguka katika wall yake ya facebook na kuwataarifu wapenzi wa Ant-Virus kwamba ANT VIRUS VOL III Ippo njiani
Subscribe to:
Posts (Atom)






