Baada ya tour ya mikoani genge kinara la vinega wanao scun virus walio katika tasnia ya music wa bongo almaarufu kama ANT-VIRUS wanaendelea na ile wanaoiita ni vita dhidi ya wahujumu wa muziki wa bongo flava chini ya kiongozi wao mashuhuri ambaye ni moja kati ya waasisi wa muziki huo hapa nchini ambaye pia ni mbunge mashuhuri wa jimbo la Mbeya mjini katika jiji la Mbeya kupitia tiketi ya chama cha chadema,vinega inaundwa na wasanii wengi wakonge na wapya kama SUMA G;RAMA D;MKOLONI;ADILI(hisabati);MAPACHA(D WA MAUJANJA;K-WA MAUJANJA) PEENLAWYER;SOGGY DOGGY;COIN;DANY MSIMAMO na ISANGA FAMILY moja ya vinega D wa maujanja kafunguka katika wall yake ya facebook na kuwataarifu wapenzi wa Ant-Virus kwamba ANT VIRUS VOL III Ippo njiani

No comments:
Post a Comment