Wednesday, February 8, 2012

BONTA CONSCIOUS NA MGOMO WA MADAKTARI

 MWANA HIP HOP TOKA FAMILIA YA WEUSI TOKA ARACHUGA RIVER CAMP SOLDIERz
AMBAYE PIA NI PROFESSIONAL DOCTOR  AFUNGUKA JUU YA MGOMO WA MADAKTARI AKIWA NI MMOJA KATI YA MADAKTARI HAO BONTA ANASEMA HIZI NI  HASIRA ZA SIKU NYINGI AMBAZO ZIME BE STIMULATED NA MAMBO YA SASA HIVI KATIKA SERIKALI SABABU MAANDAMANO YANALETWA NA VITU VIWILI AMBAVYO NI MATTER OF RIGHT OR MATTER OF INTEREST NA KUNA MAENEO ESSENTIAL YASIYORUHUSIWA KUGOMA KAMA MA DR. WATU WA FIRE MAASKARI NA MAJESHI LAKINI MADAKTARI WAMEGOMA KUTOKANA NA MATTER OF INTEREST KWA MADAI YAFUATAYO
1.CALL ALLOWANCE  ambayo kwa sasa wanalipwa Tsh 10000/= tangu mwaka 2004
ikiwa WANASIASA wanalipwa Tsh 700000 nakudai waongezewe hadi Tsh-200000
2.HEALTH INSURANSE GREEN CARD SIO NSSF
3.TRANSPORT ALLOWANCE
4.RISK ALLOWANCE
5.HARDSHIP ALLOWANCE
5.BAD WORKING AREAS
6.MSHAHARA AMBAO JUMUIYA YA MADAKTARI WALIDAI KIASI CHA TSH.MILIIONI 3.5 KWA DR. NA WALIHITAJI KUKAA NA SERIKALI KUJADILI JUU YA MSHARAHA HUO LAKINI SERIKALI IKADAI HUO NI UTOVU WA NIDHAMU.
7.WAZIRI WA AFYA, NAIBU WAZIRI WA AFYA ,KATIBU MKUU WAONDOLEWE MADALAKANI HIKI NDO KITU KIKUBWA ZAIDI, JUMUIYA YA MADAKTARI WALITAKA VIONGOZI WOTE WA JUU KATIKA WIZARA YA AFYA WAJIUZURU SABABU NDIO CHANZO CHA HAYA MATATIZO YOTE
BAADHI YA HIT SONG ZA BONTA MTI WENYE MATUNDA,NAUZA KURA YANGU,MZALENDO WA MEI MOSI N.K

2 comments:

  1. respect kaka mo concsious na leo design wanaaharakati wakiongozwa na Mama Ananilea Nkya wafunga barabara pande za sarender bridge kushinikiza serikali kutatua tatizo hili faster
    kweli serikali yetu haina huruma kwa wananchi wake au sababu wao wanatibiwa njee shame on tezee gvt,kuanzia presida na vibaraka wake mamae zao!!!!

    ReplyDelete
  2. kitamboo serikali haitaki kufunguka dawa tuandamane nchi nzima ndo watafunguka pumbavu hawa respect Bonta kwa kufunguka

    ReplyDelete

WEB SEARCH